- mwasisi
- [Swahili Word] mwasisi[Swahili Plural] waasisi[English Word] founder[English Plural] founders[Part of Speech] noun[Class] 1/2[Swahili Definition] mwanzilishi; mtu aliyweka msingi wa jambo fulani[Swahili Example] Mwasisi wa madhehebu hiyo ya dini hajulikani.[English Example] The founder of this religious sect is unknown.------------------------------------------------------------
Swahili-english dictionary. 2013.